Sasa ni wiki 3 zimepita tangu tumezindua aplikeshini yetu ya Android, na bado tuna msisimuko; inasisimua, na kuna mengi ya kufanya. Licha ya msisimko mkubwa unaokuja na kitu kipya, unakuja na mabadiliko mengi ndani ya muda mfupi na majukumu ambayo haukuyatarajia. Shida ya kufanya uzinduzi, hasa kama startup, ni kwamba…